Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti amesema kuwa kwa sasa Mkoa wa Manyara ni miongoni mwa Mikoa inayoongoza katika sekta ya Viwanda!!
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amewatakata wananchi kuacha tabia ya ukeketaji kwani vitendo hivyo vimkera MUNGU.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti amewataka Wakuu wa mikoa wengine waje kujinza Mkoa wa Manyara katika miradi ya Maendeleo kwani Mkoa huo umeshika nafasi ya pili Kitaifa katika Mbio za Mwenge wa Uhuru 2018 kwa Miradi yote ya Maendeleo kukubaliwa.Mh.Mnyeti ameyasema hayo alipokuwa akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan Mkoani Manyara.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.