Msanii wa kabila la kimasai kutoka Wilaya ya Simanjiro Mkoa wa Manyara akiwaburudisha wananchi wa Kimotorok!!
Mkuu wa Mkoa wa Manyara awataka wananchi wa Manyara kuepuka migogoro kati ya Wakulima na Wafugaji.
Mkoa wa Manyara umeshika nafasi ya pili katika miradi ya maendeleo kitaifa mwaka 2018. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti katika kikao cha baraza la ushauri la Mkoa wa Manyara.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.