Shule ya Sekondari Nangwa iliyopo katika Wilya ya Hanang Mkoani Manyara katika muonekano mpya.
Miradi ya maendeleo ya ujenzi wa Madarasa matatu Shule ya Sekondari Endasak
MKUU WA MKOA WA MANYARA ALEXANDER MNYETI AMEITAKA HALMASHAURI YA MJI WABABATI KUZUNGUSHIA UZIO UWANJA WA MICHEZO WA KWARAA ILI WAWEZE KUINGIZA MAPATO KUPITIA MECHI MBALIMBALI AMBAZO ZITACHEZWA KATIKA UWANJA HUO.KAULI HIYO AMEITOA KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI AMBAPO ALIELEZA KUWA HALMASHAURI HIYO MAPATO YAKE YAMEKUWA YAKISUASUA KUTOKANA NA KUSHINDWA KUBUNI VYANZO VIPYA VYA MAPATO HALI INAYOSABABISHA KUISHUSHIA HADHI HALMASHAURI HIYO AMBAYO INAVYANZO VINGI VYA MAPATO AMBAVYO VINGEWEZA KUINGIZA PESA ZAIDI YA BILIONI 1.2 WANAYOKUSANYA KWA MWAKA IKIWA PESA HIYO INAKUSANYWA NA MFANYABIASHARA MMOJA KWA MWEZI.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.