Mradi wa Uboreshaji wa Miji (ULGSP) Kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI wamefika Mji wa Babati na Hapa wanatuonesha jinsi wanavyoitekeleza.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Alexander Mnyeti awahimiza Wakuu wa Wilaya Mkoani kwake kutafuta wawekezaji.
Mh. Dr. John Pombe Joseph Magufuli Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amezindua barabara ya lami kutoka KIA mpaka Mirerani Mkoani Manyara.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.