Serikali yaboresha matumizi ya Epicor 10.2 na Planrep
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. ALexander Mnyeti amesema Serikali ya Chama Cha Mapinduzi iliyo chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt John Pombe Magufuli itajenga barabara za lami zaidi ya Kilometa kumi katika Mji wa Babati ili uendane na hadhi ya kuwa Makao Makuu ya Mkoa wa Manyara.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti ametembelea na kukagua mradi wa Barabara za lami zinazojengwa na Serikali katika Halmashauri ya Mji Babati.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.