Mkuu wa Mkoa wa Babati Mh.Alexander Mnyeti amempongeza Mkuu wa Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika Bw.Daniel Luther katika Halmashauri ya Mji wa Babati kwa kazi nzuri ya kuendeleza Kilimo katika Halmashauri hiyo!!
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Suleiman Jaffo amefanya ziara ya siku moja Mkoani Manyara na kuzungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang na kuwataka waache migogoro baina yao ili wawatumikie wananchi.
Mkoa wa Manyara umezindua Kampeni ya Upimaji wa Virusi vya ukimwi kwa hiyari siku ya Tarehe 29/08/2018 Wilayani Hanang.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.