Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti ametatua mgogoro kati ya Kijiji cha Sukro na Kiteyangar Wilayani Simanjiro. Mgogogro huo ulidume kwa zaidi ya mika kumi wakigombania Kitongoji cha Katikati.
Wadatoga na Wahadzabe ni Makabila yanayotunza sana utamaduni wao na wanapatikana Wilayani Hanang katika Mkoa wa Manyara.
Zaidi ya wakazi 320 wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wamepatiwa huduma ya afya kwa kupimwa na kupewa matibabu bure kwenye shule ya awali na msingi ya Blue Tanzanite.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.