Imechapishwa Tarehe: November 4th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara imetunukiwa tuzo ya kitaifa ya heshima ya nyota tatu kwa vituo vyake vya afya kumi na mmoja kutoa huduma bora za afya.
Hati hizo zimetolewa s...
Imechapishwa Tarehe: November 2nd, 2018
Wananchi wametakiwa kuwa na tabia ya kuhoji wahudumu wa afya kabla ya kuanza kutumia madawa wanayopatiwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya.
Aidha wahudumu wa afya wametakiwa kuwauliza maswali...
Imechapishwa Tarehe: October 29th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Babati Mheshimiwa Elizabeth Kitundu amewataka wazazi na walezi kuhakikisha watoto wote waliofaulu darasa la saba wanaendelea na elimu ya Sekondari huku kidato cha nne ambao hawatafan...