Imechapishwa Tarehe: November 30th, 2018
Taasisi ya kuzuaia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Manyara kwa kipindi cha Julai hadi Novemba 2018, imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi milioni 270,973,774.48 zilizokuwa zimefanyiwa ujanja...
Imechapishwa Tarehe: November 29th, 2018
Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bwana Missaile Musa akiambatana na Katibu Tawala Msaidizi Mipango na Uratibu Bwana Anza-amen Ndossa,Katibu wa Afya Mkoa Bwana Thomas Malle na Mjumbe wa Kamati ya Afya ...
Imechapishwa Tarehe: November 28th, 2018
Watu milioni 7.6 kila mwaka duniani hupoteza maisha kutokana na magonjwa ya Kisukari na Shinikizo la damu huku milioni 92 wakiathiriwa na Magonjwa hayo.
Hayo yamesemwa na Daktari wa Upa...