Imechapishwa Tarehe: June 26th, 2019
Mkuuwa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti ameitaka Halmashauri ya Mji wa Babati kubuni vyanzo vipya vya mapato ili kuongeza mapato ya Halmashauri hiyo.
Mh.Mnyeti amesema hayo jana Jumamosi alipoku...
Imechapishwa Tarehe: June 13th, 2019
Mwenge wa uhuru umewasili mkoani manyara na kupokelewa katika kijiji cha aicho halmashaur ya mji wa mbulu ambapo ukiwa mkoani hapo utatembelea na kukagua, kuzindua na kuona miradi 44 yenye thamani ya ...
Imechapishwa Tarehe: June 16th, 2019
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Kitaifa Mzee Mkongea Alli amewataka wazazi kuacha tabia ya kuwaozesha watoto wa kike mapema, kwani kitendo hiko kinawanyima fursa nyingi za maendeleo.
...