Imechapishwa Tarehe: August 28th, 2020
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Musabila Kusaya amewataka wakulima nchin kutumia mbolea zinazozalishwa nchini Tanzania.
Katibu Mkuu ameyasema hao leo Agusti 28,2020 akiwa katika ziara ...
Imechapishwa Tarehe: August 25th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Joseph Joseph Mkirikiti amewataka wananchi wa Mkoa huo pamoja na mikoa ya jirani kujiandaa na mashindano ya ngumi Kitaifa yanayotarajiwa kuanza kufanyika Septemba 6, 2020 ...
Imechapishwa Tarehe: August 24th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Joseph Joseph Mkirikiti amewataka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kuhakikisha wanatoa elimu kwa wananchi hasa wanaoishi mbali na mijini juu ya Huduma ya Usaji...