Imechapishwa Tarehe: November 19th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Joseph Mkirikiti amewataka wakulima wa mkoa huo kulima kilimo chenye tija na kuongeza uzalishaji wa mazao mbalimbali ili yaweze kuwanufaisha na kuongeza kipato cha mkulima ...
Imechapishwa Tarehe: October 22nd, 2020
Ikiwa zimebaki siku 6 kuelekea uchaguzi mkuu nchini kamati ya maridhiano na baraza la wazee Mkoa wa Manyara limewataka wananchi kuepuka maneno ya uchochezi na yenye kuleta mgawanyiko katika Taifa amba...
Imechapishwa Tarehe: October 21st, 2020
Wakala wa Maji Vijijini RUWASA mkoa wa manyara imewahakikishia wakazi wa kata ya Inkaiti,Wilaya ya Babati katika Mkoa wa Manyara kuwa itamaliza shida ya upatikanaji wa maji safi na salama ka...