Imechapishwa Tarehe: January 5th, 2021
Vijana Wilayani Kiteto wameishukuru Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Wilaya ya Kiteto kwa kuwawezesha kupata mikopo isiyokuwa na riba ili na kuweza kuanzisha miradi mbalimbali...
Imechapishwa Tarehe: January 4th, 2021
Wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Babati wametakiwa kuchangamkia fursa ya kujipatia mikopo ya asilimia kumi isiyo na riba kutoka Serikalini ili kuweza kujifanyia shughuli zao na kujikwamua na umaskini.
...
Imechapishwa Tarehe: December 24th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Joseph Mkirikiti (kushoto) akimwelekeza jambo Waziri wa Kilimo Mhe.Profesa Adolf Mkenda (kushoto) alipotembea Mashamba ya ngano huko Basutu, Wilaya Mkoani Manyara 23 Di...