Imechapishwa Tarehe: January 4th, 2021
Wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Babati wametakiwa kuchangamkia fursa ya kujipatia mikopo ya asilimia kumi isiyo na riba kutoka Serikalini ili kuweza kujifanyia shughuli zao na kujikwamua na umaskini.
...
Imechapishwa Tarehe: December 24th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Joseph Mkirikiti (kushoto) akimwelekeza jambo Waziri wa Kilimo Mhe.Profesa Adolf Mkenda (kushoto) alipotembea Mashamba ya ngano huko Basutu, Wilaya Mkoani Manyara 23 Di...
Imechapishwa Tarehe: December 22nd, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Joseph Mkirikiti amewashauri wawekezaji kutoka Tanzania na nje ya Tanzania kuja kuwekeza mkoani Manyara kutokana na uwepo wa fursa mbalimbali za uwekezaji zipatika...