Imechapishwa Tarehe: April 20th, 2021
Mkuu wa mkoa wa Manyara Joseph Mkirikiti ametoa wito kwa viongozi wa mkoa na wilaya watakaosimamia utekelezaji wa mpango wa usajili wa Watoto walio na umri chini ya miaka mitano mkoani hapa kudumisha ...
Imechapishwa Tarehe: March 17th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Manyara joseph Mkirikiti amewata watanzania kutoruhusu watu wenye nia mbaya ya kuwagawanya watanzania kisiasa katika kipindi hiki cha maombolezo kufatia kifo cha aliyekuwa Rais wa jamu...
Imechapishwa Tarehe: March 11th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Joseph Mkirikiti amewataka wamiliki wa vitalu vya uwindaji mkoani humo kuacha kufanya shughuli za kilimo kwani kufanya hivyo kunaleta uharibifu wa mazingira na kuwafan...