Imechapishwa Tarehe: March 18th, 2023
Na Nyeneu, P. R - Mjini Babati
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Charles Makongoro Nyerere ametoa rai kwa wananchi wa Mkoa huo kuendelee kudumisha ulinzi, usalama na amani ya Mkoa ikiwemo suala zima la ...
Imechapishwa Tarehe: February 13th, 2023
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete amemuelekeza Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Manyara kuweka mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi na kuwapatia hati wakazi wa eneo ...
Imechapishwa Tarehe: January 27th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Charles Makongoro Nyerere amezindua kampeni ya upandaji miti Kijiji Cha Nakwa, Kitongoji cha Sumbi kata ya Bagara Wilaya ya Babati mkoani Manyara
Rc Mako...