• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Ziara ya Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bi. Karolina Mthapula katika Wilaya ya Kiteto

Imechapishwa Tarehe: September 30th, 2023

Kuelekea Kilele cha Mbio za Mwenge  wa Uhuru 2023  Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bi. Karolina Mthapula  amefanya ukaguzi wa miradi ya Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Kiteto katika ziara hiyo  ameambatana na kamati ya ulinzi na usalama Mkoa  na wataalamu mbalimbali  kutoka Ofisi ya Mkoa na mratibu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoa na wa Wilaya ya Kiteto pamoja na Mkuu wa Wilaya  ya kiteto  Bw. Mbaraka  Alhaji Batenga.

 Katika ziara hiyo Katibu Tawala ametembelea nakufanya ukaguzi eneo la Dosidosi lililopo Kata ya Dosidosi kijiji cha Dosidosi  eneo ambalo yatafanyika  makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa Dodoma. Mratibu wa mbio

za Mwenge  wa Uhuru Mkoa wa Manyara  Samwel Pastory  ametoa  maelekezo kuhusu mpangilio  na utaratibu mzima katika eneo hilo.

Aidha Katibu Tawala Mkoa wa Manyara amefanya ukaguzi wa mradi wa shule ya msingi Esukuta iliyopo kata ya Dosidosi  kijiji cha Esukuta, Ambayo  imekamilisha mradi wa ujenzi wa madarasa mawili na Ofisi, mradi ambao umetekelezwa kwa fedha za ndani ambapo mradi huo ulinza  mwezi julai 2023 na utazinduliwa  na Mwenge wa Uhuru tarehe 7/10/2023.

Vilevile  amefanya ukaguzi wa Daraja la Orkine lililopo Kata ya Orkine  kijiji cha Orkine  mradi wa ujenzi wa daraj hilo ulianza Septemba 2022 ambapo mradi huo unatarajiwa kuzinduliwa na Mwenge wa Uhuru. Ujenzi wa daraja hilo utasaidia kuboresha huduma ya usafirishaji wa mazao ya wananchi wa kijiji cha Orkine mradi huo umeleta ajira ya muda kwa vijana wa Wilaya ya kiteto, sambamba na hilo Katibu Tawala Mkoa wa Manyara amefanya ukaguzi wa ujenzi wa shule  ya msingi Azimio  iliyopo Kata ya Matui  kijiji cha Matui.

Pia ametembelea nakufanya ukaguzi wa mradi mkubwa  wa maji uliyopo  katika kijiji cha Karoleni  mradi uliazna Januali 2022 na umekamilika 2023. Ujenzi wa mradi huo ulienda sambamba na ujenzi wa mabomba  kwaajili ya kusambaza  maji  ujenzi wa matenki  makubwa mawili ya maji. Mradi huo utasaidi kutatuwa kero ya Maji  katika Wilaya  ya Kiteto, Pia amefanya ukaguzi wa mradi wa mazingira katika shule ya Sekondari Nasa iliyopo Kata ya Matui.

Ametembelea  nakufanya ukaguzi wa mradi wa ujenzi Hospitali ya Wilaya ya Kiteto  ambapo ujenzi wa  mradi huo  nipamoja na majengo ya mama na watoto, jengo la upasuaji mradi ulianza  mwezi Februali 2022  utakamilika nakuzinduliwa na Mwenge wa Uhuru  Oktoba 7, 2023, Katibu Tawala  Mkoa  wa Manyara amelidhishwa na  miradi hiyo yote.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.