• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

NAIBU WAZIRI WA ELIMU AFANYA ZIARA YA KIKAZI MANYARA.

Imechapishwa Tarehe: October 8th, 2018

Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi ,Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Mh. William Ole-Nasha(MB) amefanya ziara ya kikazi leo tarehe 8,Oktoba Wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara na kutembelea chuo cha ufundi stadi(VETA) na kituo cha elimu ya watu watu wazima(BTS) na dhumuni kubwa ya ziara yake ni kutembelea  miradi ya wizara na pia kufatilia utendaji kazi wa watendaji wa serikali katika kitengo cha elimu .

Akisoma taarifa kwa mgeni rasmi Afisa elimu Mkoa wa Manyara Bw. Anorld Msuya alisema zipo changamoto mbali mbali  zinazoukabili Mkoa  ikiwemo uandikishaji wa wanafunzi wa darasa la kwanza ,hii ni kutokana na hamahama ya wanajamii hasa wafugaji, umbali wa maeneo ya shule kutoka kwenye makazi,uchakavu wa miundo mbinu ,uhaba wa walimu na upungufu wa madarasa mbali na changamoto hizo Mkoa unajitahidi kuhakikisha kila Halmashauri inakuwa na miundo mbinu bora ya kielimu ikishirikiana na wananchi  na kuhakikisha kila tarafa iwe na shule ili kuhakikisha wanafunzi wanaopata elimu bora.

 Akijibu taarifa ya Afisa elimu Mh. Naibu waziri  alisema miundo mbinu ya kielimu bado inasikitisha na jukumu la serikali za mitaa kushirikiana na wananchi kuboresha miundo mbinu na pia maafisa elimu mnapaswa kutumia sheria ya serikali kuzidi kuwahamasisha wananchi kuwapeleka watoto shule  aidha katika maeneo ambayo kuna mtawanyiko wa wananchi ni lazima muwe wabunifu kwa kujenga shule za bweni ,pia alisema “niwaombe watendaji  wa serikali kutojijengea dhana ya kuunda magenge ya wizi wa mitihani suala ambalo sisi kama serikali hatutaliunga mkono”.

  Vilevile katika ziara yake Mh.Ole- Nasha alipotelembelea chuo cha ufundi stadi ( VETA -MANYARA) alitoa fursa kwa wanafunzi kuelezea changamoto na matarijo yao katika kozi wanazozisomea wanafunzi hao walisema mafunzo wanayopatiwa ni mazuri lakini bado wanakumbana na changamoto ya uhaba wa walimu na ajira mitihani hivyo wanaiombana serikali iwasaidie.

  Akitoa hotuba katika ziara yake alijibu hoja za wanafunzi hao Mh. Naibu Waziri alisema “ serikali imejipanga kuboresha ngazi mbali mbali za elimu kuendana na teknolojia ya kisasa,ili kuendesha uchumi wa viwanda nilazima uwe na nguvu kazi ya ufundi hata hivyo bado tunaendelea kupanua wigo w afursa kwa wananchi wengi kwenda shule na ni jukumu lenu kwenu wanafunzi  kujijengea dhana ya kujiajiri kama sera na mtazamo wa serikali unavyosema “ alisistiza aidha serikali bado inavitambua na kuvithamini vituo vya elimu ya watu wazima kwani ni jukumu la kila mwanachi kupata elimu bora.

(Kwa Picha mbalimbali angalia Kituo cha Habari kisha nenda Maktaba ya Picha)

Imeandikwa na Isabela Joseph (UDSM-Mafunzo kwa Vitendo)

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.