• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

KIKAO KAZI CHA UBORESHAJI WA USIMAMIZI WA ELIMU

Imechapishwa Tarehe: January 22nd, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe Charles Makongoro Nyerere  akizungumza na walimu  kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, (TAMISEMI)  Mhe.Angellah J. Kairuki  katika  kikao kazi cha  uboreshaji wa usimamizi wa Elimu Msingi na Sekondari, kilichowakutanisha maafisa Elimu Wilaya na Kata, wakuu wa shule za  sekondari, na walimu wakuu wa shule za msingi Mkoa wa Manyara.


Alisema wapo baadhi ya  watumishi wanaotoa lugha chafu ambazo zinarekodiwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii, na kwamba  Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan haiwezi kumvumilia mtumishi  wa aina hiyo.


RC Makongoro amewataka wahakikishe wanafunzi wanapata umahiri wa stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu wamalizapo darasa la kwanza, na kwamba ufundishaji wa somo la kiingereza unaimarishwa kwa shule za msingi na Sekondari.


Aidha,Amewataka viongozi wa Elimu ngazi ya shule, kata, halmashauri na mikoa kuhakikisha wanafuatilia ufundishaji wa walimu darasani pamoja na kutatua kero za walimu kwenye maeneo yao ya kazi badala ya kukaa maofisini.


Naye Naibu Katibu Mkuu(ELIMU) Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Charles E. Msonde  amesema ili watoto wabaki salama lazima kila mmoja awe mlinzi wa mtoto na kuona kuwa ni mtoto wake


Akitoa salamu za Mkoa wa Manyara Katibu Tawala Mkoa  wa Manyara  Bi.Karoline Mthapula alisema kwa mwaka wa fedha 2021/2022 Mkoa wa Manyara ulipokea kiasi cha Tsh. 3,760,000,000.00 kwaajili ya ujenzi wa shule mpya 8 za Kata kupitia mradi wa (SEQUIP). Shule 7 kati ya shule 8 zimesajiliwa na zimepokea wanafunzi wa kidato cha kwanza, 2023.


Aidha, katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023 Mkoa wa Manyara ulipokea kiasi cha Tshs. 1,540,000,000.00 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 77 vya shule za Sekondari. Hadi sasa Mkoa umekamilisha ujenzi wa vyumba vyote 77 vya madarasa  sawa na asilimia 100.


Mthapula alisema hadi kufikia tarehe 10 Januari, 2023, Mkoa umeandikisha wanafunzi wa Elimu ya Awali 29,864 ambapo wavulana ni 15,564 wasichana 14,300100


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • Miaka Miwili ya Rais Samia Manyara ni Shangwe tupu Miradi ya Maendeleo

    March 18, 2023
  • SERIKALI YATOA MAAGIZO MGOGORO WA ARDHI KIRU

    February 13, 2023
  • MITI MILIONI 10.5 KUPANDWA MANYARA

    January 27, 2023
  • RC MAKONGORO AMESEMA WALIOCHAGULIWA WATAINGIA DARASANI BILA USUMBUFU WOWOTE

    January 23, 2023
  • Tazama Zote

Video

Karibu Mwenge wa Uhuru 2022 Mkoa wa Manyara
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.