Wednesday 22nd, March 2023
@Kwaraa Stadium
Mkoa wa Manyara kesho siku ya Jumatano utaadhimisha wiki ya juma la Elimu. Shughuli hiyo itaadhimishwa katika viwanja vya Kwaraa na kuhudhuriwa na watu mbalimbali kutoka katika Halmashauri zote saba za Mkoa wa Manyara.Watu wote mnakaribishwa
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.