Tuesday 21st, March 2023
@THEMI ARUSHA
Karibuni katika Maonesho ya Siku ya Wakulima Kanda ya Kaskazini yatakayofanyika Mkoani Arusha katika viwanja vya Themi kuanzia Tarehe 1-10 Mwezi wa nane.Mkoa wa Manyara ukiwakilishwa na Halmashauri zake zote saba zitashiriki katika maonesho hayo kwa kuwaletea bidhaa na shughuli mbalimbali za kilimo na mifugo katika mabanda yao.Milango itafunguliwa kuanzia saa kumi na mbili Asubuhi na Kufungwa saa nne Usiku.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.