Tuesday 7th, February 2023
@MBULU
Mkoa wa Manyara unategemea kupokea Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoani Arusha Tarehe 19 August,2018.
Mwenge huo utapokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti katika mpaka wa Arusha na Manyara katika Wilaya ya Babati na kukimbizwa katika Halmashauri zote saba za Mkoa wa Manyara.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.