Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexender Mnyeti amesema shule ya Sekondari Nangwa iliyopo Mkoani Manyara imetengewa Jumla ya Shilingi Milioni Mia nane na Saba kukarabati vyumba kumi vya madarasa,maabara,vyoo,ujenzi wa madarasa mawili, Ukarabati wa Bweni na Ukarabati wa Ofisi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake Mkoani Manyara kwa kufungua kiwanda cha Madini aina ya Graphite huko Mirerani Wilayani Simanjiro tarehe 15 Novemba,2018.(Picha Na. Sauda Shimbo)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameanza ziara ya kikazi Mkoani Manyara. (Picha na Elia Kimani)
Copyright ©2020 Manyara Region . All rights reserved.