Mbunge wa Viti Maalum CCM Bi.Ester Mahawe ameahidi kutoa bati na mifuko ya Cement kujenga Vyoo Shule ya Msimngi Sinai iliyopo Babati Mjini ili kuhakikisha wanafunzi wanapata vyoo bora katika shule hiyo.
Wananchi wa Kijiji cha Nakwa Halmashauri ya Mji Babati waishukuru Serikali ya awamu ya Tano kupeleka huduma ya Zahanati Kijijini kwao.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara awapongeza wananchi wa Kijiji cha Nakwa kilichpo ndani ya Halmashauri ya Mji wa Babati kwa kusimamia miradi ya maendeleo vizuri.
Haki zote zimehifadhiwa @2017 Mkoa wa Manyara