Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti ametembelea na kukagua mradi wa Barabara za lami zinazojengwa na Serikali katika Halmashauri ya Mji Babati.
Mgombea wa Udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi Bw.Nicodemu Tlaghas ameshinda nafasi hiyo dhidi ya wenzake wa Chadema na UPDP
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akagua ujenzi wa Barabara za lami Halmashauri ya Mji wa Babati na kupongeza kazi za ujenzi.
Haki zote zimehifadhiwa @2017 Mkoa wa Manyara