• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu za Kujiunga na Bangdalalu Sekondari
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Habari
  • Blog

Video

  • MAPATO MIRERANI YAONGEZEKA

    August 29th, 2018

    Waziri wa Madini  amesema kuwa   mapato yanayotokana na Madini ya Tanzanite yameongezeka maradufu  na Serikali iko katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kuwa hati miliki madini ya Tanzanite ili Taifa liweze kunufaika zaidi na mauzo ya madini hayo yanayopatikana Tanzania.

  • WADAU WA AFYA MKOANI MANYARA WAKUTANA HANANG

    August 28th, 2018

    Wadau wa Afya Mkoani Manyara wamekutana Wilayani Hanang Mkoani Manyara na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu Afya Mkoani humo na kubuni mbinu za kuzitatua.

  • TANAPA KATIKA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI

    August 24th, 2018

    Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi MHE. WILLIAM LUKUVI wilayani Babati mkoani Manyara alipokuwa akizindua rasmi mpango wa utekelezaji wa matumizi bora ya ardhi ya vijiji vinavyopakana na hifadhi za taifa.Waziri Lukuvi ameongeza kuwa Wizara yake imeleta Vifaa vya kisasa vya upimaji wa Ardhi ambavyo vitatumika katika kupima na kutatua migogoro hiyoMpango huu unatekelezwa kwa ushirikiano na Hifadhi za Taifa Tanzania ambayo ipo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Tume ya Taifa ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi ambayo ipo chini ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.akiongea wakati wa uzinduzi huo Naibu Waziri wa Maliasiri na Utalii Mhe. Japhet Hasunga amesema Mpango huu umekusudia kupima vijiji vyote 392 vinavyozungika hifadhi nchi nzima hasa katika mikoa ya Arusha, Manyara na Mara.Aidha aliongeza kuwa pango huu ni Ushirikiano kati ya Wizara hizi mbili na utakuwa ni muarubaini wa kuondoa kabisa migogoro ya ardhi iliyopo kati ya wananchi na hifadhi zinazo wazunguka.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • Wabunge waridhishwa na ujenzi wa Hospitali Mbulu

    March 15, 2020
  • Kamishna Jenerali jeshi la zima moto Tanzania ziarani mkoani Manyara

    February 28, 2020
  • Katibu Tawala Manyara asaini mkataba wa baraza la wafanyakazi

    February 26, 2020
  • Ofisi ya Waziri Mkuu yatoa mafunzo kwa kamati ya maafa mkoa wa Manyara

    February 24, 2020
  • Tazama Zote

Video

Nangwa Sekondari katika muonekano mpya
Video zaidi

Kurasa za Haraka

Tovuti Muhimu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2020 Manyara Region . All rights reserved.