Tovuti italinda faragha na usalama wa wanao tembelea, haitokusanya wala kutoa taarifa binafsi wakati unapo tembelea tovuti yetu isipokuwa kwauamuzi binafsi wakutoa taarifa.
Tovuti hii inaviungo kwenda tovuti nyingine za Serikali ambazo kwanamna moja au nyingine zimetofautiana kwenye ulinzi wake wa data na kanuni za faragha zinaweza kutofautiana na za kwetu. Hatuwajibiki kwa maudhui na kanuni za faragha za tovuti hizo na tunakushauri uangalie ilani za faragha za tovuti hizo kabla hujatumia.
Barabara ya Babati - Singida
Anuani ya Posta: P.O.BOX 310
Simu ya mezani: 027-2510066
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: rasmanyara.go.tz
Copyright ©2020 Manyara Region . All rights reserved.