"Saratani ya mlango wa kizazi ni tatizo kubwa kwa akina mama ambao bado wana uwezo wa kubeba ujauzito" amesema mganga Mkuu wa Mkoa wa Manyara Dr. Damasi Kayera alipokuwa akifungua semina kwa wanahabari Mkoa wa Manyara juu ya Chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa watoto wenye miaka kumi na nne (14) mnamo April 20, 2018.
Aidha katika Semina hiyo wana habari toka katika taasisi mbalimbali walihudhulia ili kushiriki Semina hiyo. Na lengo mahususi ilikuwa ni kuwajengea uwezo wanahabari hao ili waweze kuwa mabalozi kwa wananchi na kuwaelimisha juu ya umuhimu wa chanjo hiyo.
Malengo mahususi ya Semina
Dr. Damasi ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Manyara ameongeza kusema kuwa baada ya semina hiyo angefurahi kuona wanahabari wote Mkoa wa Manyara wanapata uelewa wa pamoja kuhusu mambo muhimu yafuatayo:-
Barabara ya Babati - Singida
Anuani ya Posta: P.O.BOX 310
Simu ya mezani: 027-2510066
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: rasmanyara.go.tz
Copyright ©2020 Manyara Region . All rights reserved.