• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu za Kujiunga na Bangdalalu Sekondari
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Habari
  • Blog

NAIBU WAZIRI WA MAJI AFANYA ZIARA MANYARA

Imechapishwa Tarehe: October 22nd, 2018


Naibu waziri wa Maji Jumaa Aweso amemuagiza Katibu Mkuu wawizara ya Maji kutoa kibali cha kufanya tathmini ya eneo la chanzo cha maji cha Bonga wilayani Babati mkoa wa Manyara ili mradi uweze kukamilika na wananchi walipwe fidia kupisha mradi huo.

Alitoa agizo hilo leo  katika ziara yake mkoani Manyara iliyoanza leo yenye lengo la kukagua utekelezaj wa ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa upande wa sekta ya maji katika wilaya ya Babati.

Pamoja na utekelezaji wa miradi ya maji serikali inatambua kuwa inapowekeza katika miradi ya maji wakati  mwingine utekelezaji wa miradi inapita katika makazi ya watu maana yake inaathiri makazi ya watu alisema wizara itahusika katka kulipa watu watakaostahili kulipwa.

“Wasiostahli hulipwa hawatalipwa tutafanya tathmini lakini kwa wale ambao wanashahili  kulipwa tutawalipa na wawe ambao hawashahili kulipwa hatutowalipa, waheshimiwa madiwani na wabunge naomba msimamie hilo katika kuhakikisha mradi huu haukwami”

Alisema wananchi wa Babati na Manyara kwa ujumla wamelilia kilio cha maji kwa muda mrefu ambapo amejiridhisha kuwa tatizo la maji lipo na serikali inaleta fedha nyingi katika kuhakikisha inatatua tatizo la maji aliwataka kuitunza miradi ya Maji ili iweze kudumu.

Pamoja na utekelezaji wa miradi ya maji alielekeza ajira zitolewe bila upendeleo,ukabila na kujuana bali zitolewe kwa wananchi wenye sifa ikiwa ni pamoja na kupatikana kwa mkandarasi mwenye uwezo wa kifedha wakuweza kutekeleza na ujuzi katika kuhakikisha miradi hiyo haikwami kwani wizaraya Maji haitakuwa kikwazo katika kuhakikisha wakandarasi wanalipwa fedha kwa wakati.

Naibu Waziri Awesu pia alikagua miradi ya maji ya kisima cha Haraa,Tsamas na Minjingu wilayani Babati  katika Mradi wa maji wa Minjingu ulioshindwa kukamilika kwa wakati na kuitaka serikali kutenga tena fedha na  alitoa agizo la kukutana na mhandisi na mkandarasi aliyehusika.

(Kwa picha mbalimbali  angalia sehemu ya  Kituo cha Habari kisha nenda Maktaba ya Picha)

Imeandikwa na: Haji A.Msovu 


Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 MKOA WA MANYARA December 18, 2020
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA BABATI MJINI October 21, 2020
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018 MKOA WA MANYARA December 27, 2017
  • OR-TAMISEMI YATANGAZA AJIRA MPYA ZA WALIMU WA MSINGI NA SEKONDARI JULAI 2018 July 17, 2018
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • Vijana Kiteto wanufaika na Mikopo ya Halmashauri

    January 05, 2021
  • Babati watakiwa kuchangamkia Mikopo ya Serikali

    January 04, 2021
  • Waziri wa Kilimo awataka Wakulima wa ngano kuongeza uzalishaji

    December 24, 2020
  • Njooni muwekeze Manyara- RC Manyara

    December 22, 2020
  • Tazama Zote

Video

Nangwa Sekondari katika muonekano mpya
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 310

    Simu ya mezani: 027-2510066

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: rasmanyara.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2020 Manyara Region . All rights reserved.