• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu za Kujiunga na Bangdalalu Sekondari
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Habari
  • Blog

NAIBU WAZIRI WA ELIMU AITAKA MAMLAKA YA ELIMU KUTUMIA FEDHA ZA SERIKALI VIZURI.

Imechapishwa Tarehe: October 11th, 2018

Naibu waziri wa elimu Sayansi,Teknolojia na Mafunzo ya ufundi Mh. William Ole-Nasha  amaeitaka Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kutumia fedha za serikali vizuri ili kuhakikisha miradi ya kimaendeleo ya kielimu inakamilika kwa wakati bila kuwepo changamoto yoyote.   

Aidha akikagua majengo ya shule zilizopo Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara ambazo ni Nangwa na Endasak  Mh. Waziri aliitaka Mamlaka ya Elimu Tanzania kutumia utaratibu au mfumo wa FORCE- ACCOUNT ili kujenga majengo yenye ubora na kwa bei nafuu ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi. Mh Waziri aliisisitiza mamlaka hiyo  kutumia mfumo huo katika uratibu ambapo  alisema “ watumie (force account) kwa njia ya  manunuzi ya kupunguza gharama za ujenzi kupitia usimazi wake na kamati za ujenzi , wataalam wa ngazi ya Wilaya kwa kupitia mafundi wa kawaida na siyo wakandarasi wakubwa”.

 Vilevile alitoa magizo kwa wakandarasi wa ngazi zote anaopewa tenda za kujenga majengo hayo kufuata maelekezo ya Wizara ya elimu ikiwemo michoro ya ramani za majengo na fedha zinazotolewa kwa ajili ya ujenzi ili fedha zitumike kwa ufasaha bila kupatikana changamoto yoyote au kutokukamilika kwa mradi kwani kutokufata maelekezo ni kukiuka maagizo ya serikali.

 Awali mkuu wa Wilaya hiyo Mh.Joseph Mkirikiti aliitoa shukrani zake  kwa serikali ya awamu ya tano pamoja na wizara ya elimu kwan wao kama Wilaya ni wanufaika wa miradi hiyo na wamejipanga kuhakikisha inakamilika kwa wakati ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi na jamii inayowazunguka ambapo ni wakereketwa wa kielimu na pia aliahidi kuendelea kushirikiana na wakandarasi na kamati ya jenzi wa shule hizo ili kuhakikisha majengo hayo yanajengwa katika kiwango cha ubora kama wizara ilivyoelekeza.

Akihitimisha ziara yake katika shule hizo Mh Waziri alisema serikali ya awamu ya tano imejikita kuboresha miundo mbinu ya kielimu na kuhakikisha wanafunzi wanasoma katika mazingira rafiki na bora ikiwemo kuta fedha za ujenzi vifaa na kuboresha miundo mbinu ili kuleta maendeleo nchini.

(Kwa Picha mbalimbali angalia Kituo cha Habari kisha nenda Maktaba ya Picha)

Imeandikwa na Isabela Joseph (UDSM-Mafunzo kwa Vitendo)

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 MKOA WA MANYARA December 18, 2020
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA BABATI MJINI October 21, 2020
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018 MKOA WA MANYARA December 27, 2017
  • OR-TAMISEMI YATANGAZA AJIRA MPYA ZA WALIMU WA MSINGI NA SEKONDARI JULAI 2018 July 17, 2018
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • Mkuu wa Mkoa afurahishwa na Mradi wa Maji wa Bilioni mbili

    February 09, 2021
  • Ili upatikanaji wa maji uwe wa uhakika Kiteto Mkuu wa Mkoa aitaka Tanesco kumaliza kero ya Umeme

    February 08, 2021
  • RUWASA Kumaliza shida ya Maji Manyara

    February 06, 2021
  • Waziri Mkuu ashiriki mazishi ya Mbunge Manyara

    January 26, 2021
  • Tazama Zote

Video

Asilimia mbili ya mikopo kwa walemavu
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 310

    Simu ya mezani: 027-2510066

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: rasmanyara.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2021 Manyara Region . All rights reserved.