• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu za Kujiunga na Bangdalalu Sekondari
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Habari
  • Blog

MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI MANYARA.

Imechapishwa Tarehe: November 14th, 2018

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya kiakzi Mkoani Manyara leo tarehe 14/11/2018.

Akimkaribisha Mkoani Manyara  wakati wa kumpokea Makamu wa Rais katika Mji mdogo wa Mirerani Wilayni Simanjiro Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexender Mnyeti alisema kuwa  Mkoa wa Manyara  umepata maendeleo katia sekta mbalimbali mbalimbali ikiwemo Kilimo,Miundombinu,Elimu,Madini,Afya,Maji n.k

“Mh.Makamu wa Rais kwa sasa Mkoa wa Manyara unaendelea kuhakikisha dawa na vifaa tiba vinakuwa vya kutosha katika vituo vyote vya kutolea huduma kwani  kwa sasa bajeti ya dawa imeongezeka hadi kufikia asilimia 93.9 yaani kwa kifupi Dawa zinasubiri wagonjwa” Alisema Mh.Mnyeti.

“Mkoa wa Manyara umejenga vituo vya Afya  saba katika Wilaya zote zilizopo katika Mkoa huo na vituo hivyo vinatarajiwa kuanza kutoa huduma kwa wananchi kuanzia tarehe 30 Novemba 2018” Mheshimiwa Mnyeti alisisitiza.

Katika sekta ya Madini Mkuu wa Mkoa wa Manyara alisema kuwa Mkoa umebarikiwa iana mbalimbali ya madini kama Tanzanite,Tsavorite,Toummaline,Rhodolite,Grossulanite,Lolite,Limestone  n.k.

Akizungumzia faida iliyopatikana baada ya kujengwa ukuta katika machimbo ya Mirerani Mkuu wa Mkoa wa Manyara alisema “Mhesimiwa Makamu wa Rais Miezzi kumi kabla ya kujengwa ukuta mapato yalikuwa milioni  400 lakini miazi kumi baada ya ukuta kujengwa mapato ni Bilioni 2.1 hii ina maana mapato yameongezeka kwa asilimi 425”

Akiongea baada ya kupokea ripoti ya Mkoa Makamu wa Rais alisifu juhudi mbalimbali zinazofanywa na Mkoa katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Mkoa wa Manyara.

Pamoja na pongezi hizo lakini pia Makamu wa Rais aliwataka viongozi wa Mkoa wa Manyara kuongeza juhudi katika suala la lishe ili kuondokana na udumavu, vilevile alizitaka mamlaka za serikali za mitaa kufanya juhudi katika kupiga vita juu ya maambukizi ya UKIMWI “Japokuwa Mkoa wa Manyara ni Mkoa wa tatu kutoka mwisho bado juhudi zinahitaji ili kusiwe na maambukizi mapya” Alisistiza Makamu wa Rais.

Ziara ya Makamu wa Rais itaendelea kesho kwa kutembelea Ukuta wa Mirerani, Kufungua Kiwanda cha Graphite na kufanya Mkutano wa hadhara huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro.

(Kwa picha mbalimbali na Video angalia sehemu ya  Kituo cha Habari kisha nenda Maktaba ya Picha na Maktaba ya Video)

Imeandikwa Na: Haji A. Msovu

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 MKOA WA MANYARA December 18, 2020
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA BABATI MJINI October 21, 2020
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018 MKOA WA MANYARA December 27, 2017
  • OR-TAMISEMI YATANGAZA AJIRA MPYA ZA WALIMU WA MSINGI NA SEKONDARI JULAI 2018 July 17, 2018
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • Vijana Kiteto wanufaika na Mikopo ya Halmashauri

    January 05, 2021
  • Babati watakiwa kuchangamkia Mikopo ya Serikali

    January 04, 2021
  • Waziri wa Kilimo awataka Wakulima wa ngano kuongeza uzalishaji

    December 24, 2020
  • Njooni muwekeze Manyara- RC Manyara

    December 22, 2020
  • Tazama Zote

Video

Nangwa Sekondari katika muonekano mpya
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 310

    Simu ya mezani: 027-2510066

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: rasmanyara.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2020 Manyara Region . All rights reserved.