• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu za Kujiunga na Bangdalalu Sekondari
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Habari
  • Blog

MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI YAFIKIA KILELE MKOANI MANYARA

Imechapishwa Tarehe: August 7th, 2018

Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama kwa mtoto   yalifikia kilele   siku ya jumanne ya  tarehe 7/8/2018 mkoani Manyara  wilaya ya Babati katika kijiji cha Nakwa ambapo  Mganga mkuu wa Halmashauri ya mji wa Babati Bw.Charles Mtabho  alisema maadhimisho hayo yalilenga kukumbushana   kuelemishana , kuahamasishana na kuepeana elimu juu ya unyoyeshaji .

Pia alisema “nimefurahishwa na kina mama  wa  kijiji hiki kuwa wameelimika na wameuthibitishia umma kuwa watoto wao wana afya njema  na nawaomba  kina  mama hawa  waendelee kunyoyesha  mpaka watoto wao watakapofikisha miaka miwili”, pia alisema kuwa wao kama wahudumu wa afya wako mstari wa mbele kuhakikisha jamii inaiga mfano kutoka kwao  sio kwa maneno tu bali pia kwa vitendo.

Aidha mgeni rasmi katika hafla hiyo Bw.Mabula katika hotuba yake ya maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji  ililenga uhamasisha kwa kina mama kuwanyonyesha watoto wao katika miezi sita ya mwanzo  kwani humpa mtoto asilimia 50  ya nguvu ambazo mtoto huitaji katika miezi sita ya mwanzo na asilimia 35 katika miezi sita hadi kumi na mbili  na pia  alisema unyoyeshaji hupunguza kupata  saratani ya matiti na kizazi pia ni  rafiki wa kiuchumi na humsaidia mtoto kupata virutubisho sahihi kwa ajili ya ukuaji wa akili na mwili.

Bw. Mabula aliwaahidi wananchi kutekeleza huduma mbalimbali kama ya usafiri ,uwepo wa takwimu za kijiji na wilaya na  alifurahishwa na muamko wa wanawake waliopata elimu ya unyonyeshaji na  jinsi ambavyo wakina mama hao wamejikita kujikwamua kiuchumi  katika kilimo cha bustani na ufugaji wa wanyama wadogowadogo ambapo wanaingia katika siku elfu moja za unyonyeshaji.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni “UNYOYESHAJI WA MAZIWA YA MAMA NI MSINGI WA MAISHA”

(Kwa Picha mbalimbali za matukio ya wiki ya unyonyeshaji angalia Kituo cha Habari kisha nenda Maktaba ya Picha)


Imeandikwa na: Isabela Joseph (Mwanafunzi wa UDSM(SJMC)- Mafunzo kwa vitendo)

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 MKOA WA MANYARA December 18, 2020
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA BABATI MJINI October 21, 2020
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018 MKOA WA MANYARA December 27, 2017
  • OR-TAMISEMI YATANGAZA AJIRA MPYA ZA WALIMU WA MSINGI NA SEKONDARI JULAI 2018 July 17, 2018
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • Mkuu wa Mkoa afurahishwa na Mradi wa Maji wa Bilioni mbili

    February 09, 2021
  • Ili upatikanaji wa maji uwe wa uhakika Kiteto Mkuu wa Mkoa aitaka Tanesco kumaliza kero ya Umeme

    February 08, 2021
  • RUWASA Kumaliza shida ya Maji Manyara

    February 06, 2021
  • Waziri Mkuu ashiriki mazishi ya Mbunge Manyara

    January 26, 2021
  • Tazama Zote

Video

Asilimia mbili ya mikopo kwa walemavu
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 310

    Simu ya mezani: 027-2510066

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: rasmanyara.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2021 Manyara Region . All rights reserved.