• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Huduma za Maji
    • Kitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Procurement
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma ya Maji
    • Kilimo
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Habari
  • Blog

Kupata Uhamisho wa Mwanafunzi

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara inahusika na kutoa huduma za uhamisho kwa Wanafunzi kutoka Wilaya moja kwenda Wilaya nyingine au Mkoa mmoja kwenda Mkoa mwingine na taratibu zote zinashughulikiwa na Katibu Tawala Msaidizi Elimu

Ili kupata uhamisho wa Mwanafunzi lazima mzazi afanye yafuatayo;-

1. lazima mzazi apate nafasi ya mwanafunzi katika Shule anayomuhamishia

2. lazima Mzazi aandike Barua na ahakikishe imesainiwa na Mkuu wa Shule Husika 

Mfano;-

………………………,

P.O. Box …..,

……………

Date……………

Katibu Tawala (M),

S.L.P,….,

…………..

K.K     Afisa Elimu Sekondari,

            Halmashauri ya Wilaya ya …………,

          S.L.P …………

          …………….

 

K.K      Mkuu wa Shule,

          Shule ya Sekondari …………….,

          S.L.P …………

          ……………..

         

K.K     Mkuu wa Shule,

          Shule ya Sekondari ………………,

S.L.P ……..,

…………………

YAH:  OMBI LA UHAMISHO WA MWANAFUNZI ………………………..kidato cha……………..mwaka…………… 

 

Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu.

Mimi mzazi wa mwanafunzi mtajwa hapo juu, anayesoma shule ya Sekondari ya ………………..  kidato cha ………….mwaka ………………. Ninaomba uhamisho wa mwanafunzi huyu ili asome shule ya Sekondari ……………. iliyopo Halmashauri ya ……………….

Sababu ya uhamisho huu ni ………..……………………………………………...........................................

…………………………………………………………………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………………………………………………………………

Asante.

……………………….

……………………….

MZAZI WA MWANAFUNZI




3. Picha saba (7) za passport kama Mtoto anahamia nje ya mkoa wa Manyara   

Matangazo

  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 MKOA WA MANYARA December 11, 2019
  • HOTUBA YA WAZIRI MKUU KWA MAAFISA HABARI MWANZA March 19, 2019
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2019 July 11, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • WAFUNGWA 207 WAACHIWA HURU MANYARA

    December 11, 2019
  • EWURA YAJA NA VITUO VYA MAFUTA VINAVYOTEMBEA NCHINI.

    November 29, 2019
  • EWURA yawataka wadau wa Mafuta MANYARA Kuepuka kuuza Mafuta Kiholela

    November 29, 2019
  • KAMATI ZA RUFAA ZA UCHAGUZI FANYENI KAZI KWA HAKI- WAZIRI TAMISEMI

    November 06, 2019
  • Tazama Zote

Video

MNYETI AITAKA HALMASHAURI YA BABATI MJI KUBUNI VYANZO VYA MAPATO
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Singida Road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 310-Babati

    Simu ya mezani: 027-2510060 ,027-251

    Simu ya kiganjani: 027-2510066

    Barua pepe: ras@manyara.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Sitemap

Haki zote zimehifadhiwa @2017 Mkoa wa Manyara