Kuna makundi mawili ya Leseni za Biashara, Kundi A na Kundi B. Leseni za Kundi A hutolewa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) na Leseni za Kundi B hutolewa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri).
Masharti/mahitaji ya jumla kwa makundi yote ya Biashara (Kundi A na Kundi B).
NB: Hata hivyo katika Makundi yote ya Biashara Kundi A na Kundi B kuna aina mbili za Biashara, biashara za kitaalam na biashara za kawaida. Biashara za Kitaalamu kama Madawa, Sheria, uhandisi, kuendesha shule, zahanati, hospitali n.k zina masharti ya ziada kutegemea aina ya Biashara na Biashara za kawaida zinatumia masharti matano (5) hapo juu ili kupata leseni ya biashara.
Barabara ya Babati - Singida
Anuani ya Posta: P.O.BOX 310
Simu ya mezani: 027-2510066
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: rasmanyara.go.tz
Copyright ©2021 Manyara Region . All rights reserved.