Mkoa una zaidi ya mifugo milioni 3. Kati ya hao ng’ombe wa asili ni 1,747,683; ng’ombe wa kisasa ni 22,485; Mbuzi wa asili ni 1,411,752; mbuzi wa kisasa ni 27,346; Kondoo wa asili ni 576,889 na wa kisasa ni 10,317; Nguruwe ni 79,696.
Barabara ya Babati - Singida
Anuani ya Posta: P.O.BOX 310
Simu ya mezani: 027-2510066
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: rasmanyara.go.tz
Copyright ©2020 Manyara Region . All rights reserved.